iqna

IQNA

sura qaaf
Sura za Qur’ani Tukufu / 50
TEHRAN (IQNA) – Ufufuo na maisha baada ya kifo ni masuala ambayo yamesisitizwa katika mafundisho ya Kiislamu. Sura Qaaf ni moja ya sura za Qur'ani Tukufu ambayo inajibu maswali yaliyoulizwa na wale wanaofikiria maisha kuwa ni ya ulimwengu huu na wanaikana akhera.
Habari ID: 3476296    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/24